Vodacom kubadili vifurushi vyake

Vodacom kubadili vifurushi vyake

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Nimetumiwa sms na voda sasa hivi, siku chache zijazo vifurushi vyao vitabadilika. Hawajaweka wazi kama wataongeza au watapunguza? Tutarajie nini?

B3C491F8-FE83-468C-AD33-9321F7EF3474.jpeg
 
Tunapigwa na kitu kizito Maana wiki hii vifurushi vimekwisha badilika na Mb zimepunguzwa !!
 
Gb 1 ilikua 1500tsh kwa wiki,ila hadi jana ilikua 1500 kwa mb 800 wiki
Nahisi wataweka hivyo maana mitandao karibia yote 1500 unapata Gb1 kasoro Voda mpk uwe na buku mbili hiyo imepelekea watu wengi kubadilisha kambi kwa muda na mimi nikiwa miongoni mwao.
 
Eva alisema kila kitu kitapanda bei,
Jitege apo ukifikiri bundles kushuka,umeliwa.
Kuna watu wana midomo ya nuksi hapa duniani basi tu.
 
Nahisi wataweka hivyo maana mitandao karibia yote 1500 unapata Gb1 kasoro Voda mpk uwe na buku mbili hiyo imepelekea watu wengi kubadilisha kambi kwa muda na mimi nikiwa miongoni mwao.
Screenshot_20220502-055733_Phone.png
 
Nahisi wataweka hivyo maana mitandao karibia yote 1500 unapata Gb1 kasoro Voda mpk uwe na buku mbili hiyo imepelekea watu wengi kubadilisha kambi kwa muda na mimi nikiwa miongoni mwao.
Umehamia wapi baba
 
Umehamia wapi baba
Mimi nina line tatu Voda , Tigo , na Halotel . Voda nimekimbia mdau baada ya kutoa kifurushi cha WK buku 3 kwa Gb nikawa Tigo sasa nimerudisha majeshi yangu yote Halotel maana hawa ndio gharama zipo nafuu kwa sasa kuliko wote baada ya kufanya tafiti jana .
 
Nishajiunga Bando la Mwezi Jana... Na Vifurushi kumbukeni vinatumia Mafuta ya Urusi . Tuwe Wavumilivu Matajiri wanajijenga
 
Back
Top Bottom