Vodacom: Kuombana misamaha bila kuwajibika hakutoshi

Vodacom: Kuombana misamaha bila kuwajibika hakutoshi

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Huu utaratibu wa Kuombana misamaha kwa mapungufu yenu huku upande wa kunufaika ukiwa kwenu si sahihi:

"Tunaomba radhi kwa tatizo la mtandao lililojitokeza asubuhi ya leo. Sasa huduma zetu ZOTE zimerejea. Asante kwa kuendela kutumia Vodacom. Pamoja tunaweza!"

Mmekuwa chini kwa muda mrefu pia leo. Kuja na vimeseji vyepesi vyepesi kama hivi juu ya pesa zetu ni kwa kutuona je?

Kwani vile vifurushi vyetu vinavyokuwa "time bound" mnavifidia vipi?

Tuelezane jameni vinginevyo wenu huu unakuwa wizi tu kama waliomkera nao Hamza (rip).

Tumelazimika kupiga miamala (yenye tozo) chini, wizi wizi hatupendi bila kujali anayeufanza!
 
mehangaika piga simu wapiii, tuma sms, nunua kifurushi vikagomaaa, kwa hali hii waturushie ata 1 GB ya kuperuzi jamii forum
 
Hii nchi tunachukuliana poa sana.

Kwamba hela sisi wamechukua. Wametuuzia samahani.

Hii haikubaliki.

Hamza kaonyesha njia - we have to stand our ground!
 
Back
Top Bottom