Vodacom, kutishia kufunga laini kisa mtu hanunui muda wa maongezi wakati ananunua vifurushi kwa M-Pesa ni wizi wa mchana kweupe

Mzalendo07

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
71
Reaction score
120
Vodacom sasa huu ni uwizi. Haiwezekani kumlazjmisha mtu kununua muda wa maongezi na kutishia kuifunga namba yake wakati mtu huyohuyo ananunu vifurushi kupitia M-Pesa.

Kama njia hjyo sio sahihi basi toeni hizo huduma za vifurushi kwenye Mpesa. Ili imlazimu mtu kununua salio. Salio la nini sasa, wakati mie nanunua huduma za vifurushi kwa kupitia Mpesa
 
Ukishanunuwa line na kuisajili hiyo ni mali yako.

Nadhani imefika wakati sasa tuanze kuzaliana na Wakenya ili tuchanganye damu tufute kizazi cha mazezeta ya Tanzania kazi kulalamika tu bila kuchukuwa hatua.
 
Attachments

  • IMG-20240627-WA0008.jpg
    IMG-20240627-WA0008.jpg
    58.6 KB · Views: 6
Vodacom sasa huu ni uwizi. Haiwezekani kumlazjmisha mtu kununua muda wa maongezi na kutishia kuifunga namba yake wakati mtu huyohuyo ananunu vifurushi kupitia M-Pesa.

Kama njia hjyo sio sahihi basi toeni hizo huduma za vifurushi kwenye Mpesa. Ili imlazimu mtu kununua salio. Salio la nini sasa, wakati mie nanunua huduma za vifurushi kwa kupitia Mpesa
Kwani unalazimishwa kutumia laini ya Vodacom?makampuni yako mengi wakikuzingua voda nenda halotel au Airtel.
 
Mm nafanya hivyo kwa Tigo sinunui vifurushi vyao maana ni ghali mara nyingi natumia Halotel basi kutwa hawaishi kunitumia sms za promotion mara ofa ili tu ninunue vifurushi na mm nawaambia sununui vifurushi vyenu mpaka mpunguzie bei.
 
Hao vodacom mimi nilitupa line yao, nilitolewa kwenye offer ya bundle ya 2000 hadi 5000 kwa wiki. Nikapelekwa bundle ya 20,000 na kuendelea, ukiwapigia simu wanajiumauma tu.

Wapigie simu uwakemee wakiendelea tupa line
 
Mda huo huo,ukiomba nipigie tafu.ukapewa.ukilipa unaweza kubaki hata mia 300 Salio.
Ukija kuomba Tena unapewa.
Ila maajabu ile mia 300 haliwezi kujumlishwa katika kulipa mikopo wa nipigie tafu.
Eti wao mikopo unalipwa Kwa vocha unayonunua na si kujumlishwa na Salio liliopo.

Mfano,nadaiwa tshs 1200.ila Nina Salio la 300.nikiongeza tshs 1000.wao wanakata elfu 1000 inabaki unadaiwa 200.mda huo una Salio la 300?!.
Huo sio wizi kweli.ina maana ile mia 300 Haina thamani ya kulipa mkopo?.
Jamaa wanaboa,ni wezi wezi wezi wezi wasenge sana
 
Mm nafanya hivyo kwa Tigo sinunui vifurushi vyao maana ni ghali mara nyingi natumia Halotel basi kutwa hawaishi kunitumia sms za promotion mara ofa ili tu ninunue vifurushi na mm nawaambia sununui vifurushi vyenu mpaka mpunguzie bei.
huwa unawaambiaje? Unawapigia simu na kuwaambia kwamba sinunui vifurushi mpaka mpunguze bei?
 
Mm nafanya hivyo kwa Tigo sinunui vifurushi vyao maana ni ghali mara nyingi natumia Halotel basi kutwa hawaishi kunitumia sms za promotion mara ofa ili tu ninunue vifurushi na mm nawaambia sununui vifurushi vyenu mpaka mpunguzie bei.
huwa unawaambiaje? Unawapigia au unawatumia mesej?
 
Vodacom wapuuzi sana nilijiunga kifurushi Cha intaneti Cha 2100 Gb 1, Cha ajabu nikiingia ku-browse google, na kutumia YouTube haikubali ila Instagram inakubali.

Kuwasiliana nao siku hizi kazi maana utaambiwa bonyeza hiki lakini shida haitatuliwi 🚮

Kuongea na mhudumu tatizo, wanatumia automated system.
 
Kuna hii taka taka inaingia kila muda kwenye simu yangu"sako kwa bako" sijuwi ni lugha gani na ikimaanisha nini sijuwi, nawezaje kufanya ili nisizione na zisinifikie siitaji sms yoyote ya promotion toka kwenye haya makampuni.
 
Vodacom sasa huu ni uwizi. Haiwezekani kumlazjmisha mtu kununua muda wa maongezi na kutishia kuifunga namba yake wakati mtu huyohuyo ananunu vifurushi kupitia M-Pesa.

Kama njia hjyo sio sahihi basi toeni hizo huduma za vifurushi kwenye Mpesa. Ili imlazimu mtu kununua salio. Salio la nini sasa, wakati mie nanunua huduma za vifurushi kwa kupitia Mpesa
Hawa jamaa ni matapeli sana. Yaani hata ukijiunga bando la social kwa wiki unalipa 3000 unapata 1.4 gb unakuta ndani ya siku 4 tu limeisha wakati hapo ulichotumia ni kuchart tu whatsapp. Sasa ngoja utumiwe mpesa watakavyoanza na sms zao za kijinga mara sijui jiunge huku fanya hivi na hapo hapo unapokea sms au simu za matapeli.
 
Kuna hii taka taka inaingia kila muda kwenye simu yangu"sako kwa bako" sijuwi ni lugha gani na ikimaanisha nini sijuwi, nawezaje kufanya ili nisizione na zisinifikie siitaji sms yoyote ya promotion toka kwenye haya makampuni.
Hawa dawa yao ni kumpata wakili mtata kuwapeleka mahakamani ndio wataacha kuwachezea nazezeta ya Tanzania.

Mimi hizo sms nilishazikataa na nikabonyeza namba ya kujitowa lakini bado wananitumia tu.

Na kuna hili swala la bundle, unanunuwa Gb 1 zikibaki mb 50 hazifunguwi internet, hizi mb 50 wanazipeleka wapi?
 
Na ikikubali basi hiyo speed yake utapenda maana kama vile hakuna internet. Wezi sana aisee
 
Back
Top Bottom