Mzalendo07
Member
- Feb 24, 2014
- 71
- 120
Kwani unalazimishwa kutumia laini ya Vodacom?makampuni yako mengi wakikuzingua voda nenda halotel au Airtel.Vodacom sasa huu ni uwizi. Haiwezekani kumlazjmisha mtu kununua muda wa maongezi na kutishia kuifunga namba yake wakati mtu huyohuyo ananunu vifurushi kupitia M-Pesa.
Kama njia hjyo sio sahihi basi toeni hizo huduma za vifurushi kwenye Mpesa. Ili imlazimu mtu kununua salio. Salio la nini sasa, wakati mie nanunua huduma za vifurushi kwa kupitia Mpesa
huwa unawaambiaje? Unawapigia simu na kuwaambia kwamba sinunui vifurushi mpaka mpunguze bei?Mm nafanya hivyo kwa Tigo sinunui vifurushi vyao maana ni ghali mara nyingi natumia Halotel basi kutwa hawaishi kunitumia sms za promotion mara ofa ili tu ninunue vifurushi na mm nawaambia sununui vifurushi vyenu mpaka mpunguzie bei.
huwa unawaambiaje? Unawapigia au unawatumia mesej?Mm nafanya hivyo kwa Tigo sinunui vifurushi vyao maana ni ghali mara nyingi natumia Halotel basi kutwa hawaishi kunitumia sms za promotion mara ofa ili tu ninunue vifurushi na mm nawaambia sununui vifurushi vyenu mpaka mpunguzie bei.
Hawa jamaa ni matapeli sana. Yaani hata ukijiunga bando la social kwa wiki unalipa 3000 unapata 1.4 gb unakuta ndani ya siku 4 tu limeisha wakati hapo ulichotumia ni kuchart tu whatsapp. Sasa ngoja utumiwe mpesa watakavyoanza na sms zao za kijinga mara sijui jiunge huku fanya hivi na hapo hapo unapokea sms au simu za matapeli.Vodacom sasa huu ni uwizi. Haiwezekani kumlazjmisha mtu kununua muda wa maongezi na kutishia kuifunga namba yake wakati mtu huyohuyo ananunu vifurushi kupitia M-Pesa.
Kama njia hjyo sio sahihi basi toeni hizo huduma za vifurushi kwenye Mpesa. Ili imlazimu mtu kununua salio. Salio la nini sasa, wakati mie nanunua huduma za vifurushi kwa kupitia Mpesa
Hawa dawa yao ni kumpata wakili mtata kuwapeleka mahakamani ndio wataacha kuwachezea nazezeta ya Tanzania.Kuna hii taka taka inaingia kila muda kwenye simu yangu"sako kwa bako" sijuwi ni lugha gani na ikimaanisha nini sijuwi, nawezaje kufanya ili nisizione na zisinifikie siitaji sms yoyote ya promotion toka kwenye haya makampuni.
Na ikikubali basi hiyo speed yake utapenda maana kama vile hakuna internet. Wezi sana aiseeHawa dawa yao ni kumpata wakili mtata kuwapeleka mahakamani ndio wataacha kuwachezea nazezeta ya Tanzania.
Mimi hizo sms nilishazikataa na nikabonyeza namba ya kujitowa lakini bado wananitumia tu.
Na kuna hili swala la bundle, unanunuwa Gb 1 zikibaki mb 50 hazifunguwi internet, hizi mb 50 wanazipeleka wapi?