Dr Klinton
Senior Member
- Jan 21, 2012
- 123
- 152
Wewe Dr,
Hizo codes hazihamishi hela kwenye Mpesa yangu aisee? ha ha haaa!
Anyway, hiyo ni test account.... ni constant tu imewekwa kama mfano!
jamani wateja wenzangu wa Vodacom kwa Sasa kila mtu ana laki nane kwenye simu yake ambazo huwezi kuzitoa je huu si utapeli????
Ingiza namba *150*55#
Password weka namba yeyote
Halafu angalia salio
lakini hazihamishiki wala kuchukulika
Na wameweka hizi pesa bila Hata ya consent zetu
Hii si Sawa sijui Nini wadau mnalichukuliaje?
Nilisikia kuwa MPESA wanataka waanze kulaunch product ya mikopo, nadhani bado wapo kwenye testing. Na nyie ni wadadisi mno kwani kupata MENU ya MPESA ni *150*00#. Sasa huku kwenye *150*55# mmefikaje? Pengine ukiongea na mtu aliyekupa hii code atakwambia mantiki yake
ngoja namimi nikanunue line ya voda com fasta....wakikosea tuu natoa duuu wngine hatujawahi kushika ma - laki
Hapo hakuna cha test wala nini,test acount ndio nini hii '???
Hii line ni yangu na kama wanaifanyia test lazima waombe consent kwa mmiliki wa line labda kama sielewi
Mpo pori gani nyie? Kuna benki mpya inaitwa M-BANK nimesikia kuwa inamilikiwa na Mh nimrod mkono kwa pamoja na wahindi flani hivyo wanafanya test ya mobile banking hata ukifungua utaona taarifa ya test account. Nimeiona hapa arusha maeneo ya clock tower karibu na kanisa la lutheran hivyo si vodacom kama mtoa mada anavyodai