Ni kweli kabisa, na hii inatokea sana kwa wenye vibanda vya kutolea pesa,Kuna customer services na customer support ulipaswa kuwapigia pale pale kabla hujaondoka... Unajua hivi vitu vinafanywa na mitambo so sometimes faults ndogo ndogo hazikosekani
Kuna rafiki yangu jana kimemtokeavoda ni mabwege sana, nimeweka vocha wakasema kuna tatizo la mtandao.kurudia kuweka wanasema imetumika (kwenye namba yangu) kujiunga wananambia sina salio, kuchek salio nna 0.00 vocha nimesha tupa
namba 100 huduma kwa wateja inaishia andika ending call
acheni upumbavu voda