sanga kariakoo
Member
- Dec 31, 2020
- 91
- 134
WAHESHIMIWA HABARI
Leo nimweka pesa mara mbili kutoka m pesa kwenda Mastercard ili nilipie FB ads cha ajabu imetoka mpesa lakini aijaingia Mastercard na wala zile sms hazijarudi ukicheki M Pesa hakuna kitu ukicheki Mastercard hakuna kitu basi nikajua nimekosea nikaweka mzigo mingine tena tena ikawa vile vile nikaamua kuwachek wamesema baada ya siku 8 dah.
Nimehamia Airtel mabako inakua Airtel Money sio kuhamisha hamisha tena tu mana washachukua 85 yangu eti baada ya siku 8 si utani huu.
Waheshimiwa kama kuna mtu ana shida au ashawahi pata shida kama hii atoe maona na msaada ilikuaje na wanarudisha au ndo nimechangia kampuni.
Thanks