two weeks ago nilikwenda bagamoyo, huko nilinunua vocha airtime ya vodacom sh. 10000, (5000x2) kumbe zilikuwa zimesha expire,nikawapigia simu customer care wakaniambia nasubiri 24 hours na issue yangu itashughulikiwa,mpaka leo sijapata msaada, nikipiga simu najibiwa na mashine.
Hakuna wa kusaidia Mkuu, wote wameshatiwa mifukoni na makampuni ya simu katika kubariki wizi huu, vinginevyo wangekuwa wameshatoa onyo kwa makampuni haya kuacha wizi dhidi ya customers wao au hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.
voda hawafafai, kwanza ukipiga simu wakati mwingine unajisikia wewe mweenyewe weneywe wanaendelea kukata credit, wakati mwignine network mbovu...mara unasikia mitambo yao tu...yaani hawa jamaa wabovu kishenzi yaani.
Yaani haying makampuni ya simu bongo ni utumbo mtupu. Voda na Tigo kwakweli siku hizi hamna kitu kabisa. Afadhali ya zantel kidogo wanahirumia walalahoi.