majutobeach
JF-Expert Member
- Aug 10, 2016
- 212
- 164
Nasubiri akujibuHiyo ni sh 72 au 720????
subiri huenda wanapanga kukutumia ujumbe ikifika 460Mbona mimi sijatumiwa huo ujumbe wakati nilinunua hisa?
Kama kuna gawio manake thamani ya hisa imepanda, una uelewa mzuri wa solo la hisa mkuu?Umelipwa Gawio la Hisa zako za VODACOM, TZS 12.74 kwa kila hisa moja (toa 5% Kodi ya Zuio) kupitia Akaunti yako iliyopo NMB .