VodaCom Miss Tanzania 2009

Miss Tanzania wetu ndo huyu jamani





naona imekaa vizuri sana mdada ni mrembo na ana mvuto

mpangilio mzima wa miss TZkwa mie ulinivutia na hata wanamziki jipukizi mliowaweka it was fabolous

tunapenda vitu vipya
 
I knew she is gonna make it...Hivi lile gari kweli thamani yake ni 50Milioni?Kuna vitu vimeongezwa kukamilisha gharama...Lundega hayuko makini kwa kuleta gari chafu.
 


Wallah bongo mademu wamkwisha. Hakuna hata mmoja hapo anayefaa kutuwakilisha kimataifa. wote ni wabovu.
Achilia mbalia kutuwakilisha hata kuwa miss TZ
 
Wallah bongo mademu wamkwisha. Hakuna hata mmoja hapo anayefaa kutuwakilisha kimataifa. wote ni wabovu.
Achilia mbalia kutuwakilisha hata kuwa miss TZ

kaaaaaaaaaaaaaz kweli kweli n
 
Wakuu,
Kwa mujibu wa profile ya huyu malkia mpya Bi. Miriam ni mwajiriwa wa Vodacom.
Kwa mfanyakazi wa Vodacom kushiriki kwenye mashindano ambayo mdhamini mkuu ni Vodacom na kuondoka na Taji (au hata kama asingeshinda) hii imekaa vipi,sababu naona kama kuna kama kutakuwa na kahisia ka kainfluence fulani hapa au ni mimi sielewi.. nielimisheni hapa...
 
Last edited:
I knew she is gonna make it...Hivi lile gari kweli thamani yake ni 50Milioni?Kuna vitu vimeongezwa kukamilisha gharama...Lundega hayuko makini kwa kuleta gari chafu.

Lile gari; Suzuki Grand Vitara anayopewa mshindi mbona linaonekana kama used; kama ni hivyo hiyo thamani wanayoitangaza inatoka wapi? Kumbukeni kati ya hao wafadhili ni Fisadi Papa Tanil Somaiya!!
 
ningekuwa judge ningempa umiss WAGALA SHUNGU
 

Attachments

  • lol.JPG
    19.9 KB · Views: 58
mdada yuko safi kiurembo,
elimu yake form six....
hivi kweli mtu kama huyo anaweza kuzikabili challenge za kiulimwengu huko miss world?
akiulizwa maswali professional kweli ataweza kung`amua?
au miss world elimu sio kigezo?
kuuliza sio ..........plz
 
mbona unashangaa ndo mabinti zetu hao na ndo warembo wetu 🙂
__________________
tatake radhi mama hao ni mabinti za lundenga;labda ingia ndani zaidi utajua washindi wanaokuja miss tanzania wanapatikanaje mama...wale wote wenyekushindwa vigezo maalum hakuna anaekanya ga hata mshindi wa pili.......narudia tea hao ni mabinti wa lundenga na ma predeshe wake...labda cha kusikitisha wakiwa wanaingia hapo mshindi wa kwanza mpaka wa tano anajulikana wanachokuja fanya ni kutimiliza wajibu
 
its hard to believe ,,....im like sticking a needle in my eye.
 
Yaaah nimeshuhudia lile shindano toka mwanzo hadi mwisho............nakubaliana na waliowengi hapo juu.....vimwana hakuna kwa kweli, huyu Miriam yes yupo Fresh but naona weight ni kubwa kodogo...kanenepa...u can see it easily, pili hajui kujieleza kabisa huyu mdada...sasa sijui na huko Sauzi atasema ''Lugha ya taifa tafadhali'' au itakuwaje......hata kiswahili hakujieleza vizuri!

Glory William wa Ilala angekuwa na mvuto kidogo, huyu anajua sana kujieleza tena kwa ung'eng'e...alijibu swali kwa ufasaha sana........!

But again hakuna walimbwende TZ wakulu........!
 
Miss Tanzania wetu ndo huyu jamani





naona imekaa vizuri sana mdada ni mrembo na ana mvuto

mpangilio mzima wa miss TZkwa mie ulinivutia na hata wanamziki jipukizi mliowaweka it was fabolous

tunapenda vitu vipya

Mi nadhani anafaa na ajitahidi kutuwakilisha vyema.
 
vyovyote iwavyo mimi nadhani watanzania tum-support ili aweze kufanya vyema. Tatizo la watanzania ni ku-critisize kila kitu bila kutoa way forward, ninyi mmeona semenya wasauzi walijua kuwa ni dume-jike lakini alilakiwa kama mfalme. Watanzania hii tabia ya kulalama tu bila kutoa solutions inatutafuna.

Shutuma zangu hasa nazielekeza kwa watanzania ambao labda wako nje ya Tanzania ki masomo au kikazi, wao kila kitu ni ku-laumu tu mambo yanayoendelea hapa nchini lakini ukiwauliza leteni suggestions ambazo zita work hapa bongo, hakuna anayezungumza, utasikia tu mabinti wa bongo hovyo bora wa mamtoni, lakini ninyi mnaopenda vya mamtoni kumbukeni mlikuwa hapa mnakula vumbi hadi mkapata bahati ya kwenda huko mliko.

wakati mkiwa hapa nanyi yaliwashinda, mfano hii issue ya miss world ningetegemea tupate hata sample ya maswali yanayoulizwa huko miss world ili tumuandae binti yetu sasa badala yake ni kulalamika tu oh... tanzania hatuna warembo!!! kwani urembo ni nini? ni uzungu au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…