VodaCom Miss Tanzania 2009



Mkuu wacha kulalama sana..Kizuri kipo machoni na rohoni mwako..! Bongo mabinti wametulia, wazuri dada zetu..Nadhani wazungu wanatushinda kwa Elimu na jinsi ya kujieleza...Japo kweli wapo watoto wa Kizungu wazuri ...!!
 
Last edited:
Nshamega sana sampuli hizi hadi nshachoka nazo...



Mkuu kumega sio tatizo sana ...Ila ushajiuliza kwanini umemega sana ? au kwa vile ulihitaji kumega sana sampuli hizi ?

Hatutafika popote kwa mwendo huu..!
 
Huyu alipendeza na hata kujibu maswali yake alikuwa na 'konfidensi' kuliko wenzake.

Kudos Miriam!

 
hivi bongo swala la 'CONFLICT OF INTRESTS' does not exist? mbona huyu miss nasikia anafanya kazi vodacom
 
Mwaka jana nilisema hivi:



Ushindi ukaenda kwa Nasreem Karim



Mwaka huu nimesema hivi:
Kama picha hizi hazinidanganyi: Mgomange ni kwa hawa wafuatao:

IVONY BIGIRWA-KINONDONI
MIRIAM GERALD-MWANZA
SABINA BUDODI-MARA
SANDRA MALEBEKA-KINONDONI
SIA NDASKOI-TEMEKE
STELLA CHIDODO-SINGIDA
MARY JOSEPH- MARA




Ushindi umekwenda kwa MIRIAM GERALD


Inaelekea nina uwezo wa kumpiku Sheikh Yahya katika masuala haya.
 
Don't even waste money sending her to the competition. Unless there is a miracle between now and then she is not gonna win anything. Lets get real, at the end of the day this is still a beauty contestand this chick is way below the standard that you usually get at this competition
 
Umemaliza yote mkuu! Mengine ni blahblah, but the esence is in your quote above. Appreciate your honesty!
 
Hehehe sidhani kama atafika popote coz duh bado tupo mbali
 
niko tayari kurekebishwa but ninavyofahamu mimi...
kuwa na mwanya ni disadvantage kwenye mashindano ya miss world...
sasa huyu mbona ana mwanya??????????
 
rubbish...mambo yote haya ni kutupotezea muda WAAFRIKA..waacheni WAZUNGU na mambo ya urembo, walianzisha sababu asilimia kubwa ya WANAWAKE wa kizungu ni WABAYAAAAAA.....kama unabisha wachukue kama watano randomly, wapange na wa-KIAFRIKA..ndio maana ULAYA na MAREKANI mwanamke akiwa mzuri ni tiketi ya maisha bora tayari........by the way, hivi kati ya mwanamke wa KIZUNGU na KIAFRIKA, yupi akipita na kichupi mbele ya MWANAUME rijali SURUALI ITASUMBUA...........
 
niko tayari kurekebishwa but ninavyofahamu mimi...
kuwa na mwanya ni disadvantage kwenye mashindano ya miss world...
sasa huyu mbona ana mwanya??????????


Sure...Kwao mwanya ni kama kilema...kwatu ni deal...so kwa nchi yetu yuko sawa..international wise hapana...Labda kwa sababu inafanyikia africa.Hivi Yule bouncer mwenye suti nyeusi alikuwa anamlinda nani?
 

Mkuu,

Unaweza ukatueleza 'those standards that you usually get at this competition' na huyu mshindi wetu yupo way below the standard kivipi, yaani anakosa vigezo vipi
 


,,,,,Baba!!, dada zetu wakipiga BIKINIS wallah inakua kidhungudhungu,hivi wajameni huwa hakuna beach hapo bongo wadadaa zetu wanaogeleagagagaga na hizo naniliuu za kibikinis???,,niambie nikajionee,najua NTAKULA japo kwa macho.
 

Wakuu hii post iliwekwa hapa siku karibu Ishirini kabla ya mashindano, lakini hakukuwa hata na mtu mmoja wa kuchangia, Mimi naamini kama tungekuwa makini tungeweza kutoa mchango wetu kwa kutoa maoni yetu kadri maandalizi yalivyokuwa yanaenda, sasa tulikaa kimya kama hatufagilii hizi bizinez, sasa mambo yameisha tunaanza kusema hapo hakuna kitu, hii lazima tujilaumu kuwa hata sisi tumechemsha.
 

Strange
hivi Mkuu huvutiki hata kidogo? Tehetehe kwikwikwi
seems you are conservative and Pessimist
 


lakini majaji hawakuwa Vodacom walikuwa ni watu kutoka sekta mbalimbali
 
jamani lakini hata mie nashindwa kuamini mbona ile gari kama haifananiii na 50Million
 
lakini majaji hawakuwa Vodacom walikuwa ni watu kutoka sekta mbalimbali

Shost stuka, majaji hawajatoka vodacom lakini wamelipwa na vodacom ili kumchagua mfanyakazi wa vodacom awe miss vodacom. Mbona imekaa straight hiyo? Haina haja ya kuzungukazunguka. Wizi mtupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…