Shost stuka, majaji hawajatoka vodacom lakini wamelipwa na vodacom ili kumchagua mfanyakazi wa vodacom awe miss vodacom. Mbona imekaa straight hiyo? Haina haja ya kuzungukazunguka. Wizi mtupu!
Shost stuka, majaji hawajatoka vodacom lakini wamelipwa na vodacom ili kumchagua mfanyakazi wa vodacom awe miss vodacom. Mbona imekaa straight hiyo? Haina haja ya kuzungukazunguka. Wizi mtupu!
Sure...Kwao mwanya ni kama kilema...kwatu ni deal...so kwa nchi yetu yuko sawa..international wise hapana...Labda kwa sababu inafanyikia africa.Hivi Yule bouncer mwenye suti nyeusi alikuwa anamlinda nani?
lalala lalala so Chrispin hebu tuje kwenye swala zima la gari ..mbona lilikuwa na vumbi kama vile limetoka japan likiwa linaendeshwa ???
Swala la gari wala hamna haja ya kuuliza. Gari likiwa used Japan, linakuwa brand new Tanzania. Sishangai. Ila kwa bei kuzidi 50m hapo ndipo niliposhangaa. Mtoto wa kisukuma atatanua nalo mwaka mmoja, then anajiunga kwenye chama chetu cha URAFIKI NA MAFUNDI WA MAGARI. Spana mkononi mpaka kieleweke.
Aaaa wanaume bwana kwa hiyo hapo binti kishawavutia eeh
Wanaume bwana, hivi ni kweli, akili zao huwa zinawaza kitu kimoja tu when it comes to warembo?
Haya Bwana! Tunakutegemea Kombe la Dunia 2010!Mwaka jana nilisema hivi:
Ushindi ukaenda kwa Nasreem Karim
Mwaka huu nimesema hivi:
Ushindi umekwenda kwa MIRIAM GERALD
Inaelekea nina uwezo wa kumpiku Sheikh Yahya katika masuala haya.
Hata siafu wametuzidi kwa unadhifu wa kazi!!!!!!????kaaaaaaaaaaaa kweli kweli nchi hii kila kitu bla bla
Swahiba, pale hata angeshinda yupi hakuna aliyekuwa na sifa za kushinda miss world. Ushauri wangu ni kwa wanaJF mwakani wapige jaramba. Kina Firstlady1, Nyamayao, MJ1, Maria Roza, Sugar la ukweli....... mpo? Don't let us down bana. Mnazo sifa zoooote! Twendeni vitani. Siasa hatuiwezi kwa kuwa imekamatwa na mafisadi. Tuangalie upande wa pili, Ulimbwende!
Kweli maana inaonekana kama anajua mambo ya mbeleHaya Bwana! Tunakutegemea Kombe la Dunia 2010!
Upo hapo mwanangu?
gender is not important here Chrispin au ......Once upon the time, nilikuwa najua we dume jenzetu, kumbe mshosti. Swali zuri sana umeuliza. Na jibu lake ni rahisi sana. YES!. Otherwise utakuwa na matatizo.
gender is not important here Chrispin au ......
Sorry binamu, ka gender kana umuhimu wake kukajua. by the way, ulifanikiwa kupata ile kitu uliyokuwa unaitafuta desperately?
teh teh teh
na wewe si ukamuulize kule alikouliza π