VodaCom Miss Tanzania 2009

khaaa nimecheka sana....na Nyamayao nae?...hatari kubwa.
 
Kaka kuwa makini wengine waume hapo ID zao ni zakike!
 
lalala lalala so Chrispin hebu tuje kwenye swala zima la gari ..mbona lilikuwa na vumbi kama vile limetoka japan likiwa linaendeshwa ???

wakasahau japo kulifuta futa vumbi....lol...una balaa mrembo.
 
Lol! Madume jike mpwa.

Hahaha men zinazuga zuga na kuna dada hapa JF wana majina ya kiume muhimu sana kuomba namba za simu kwenye PM unakongoli usije lambishwa mchanga hahahahah!
 
Ahsante kwa elimu mkuu. Ntaanza na Vera. Jina tamu sana lile.
 
Huyu nitakusaidia she is a sweet lady well mature

Maana na Vera

Veracity = Faith city

Upo Chris mPM number akikunyima niPM mimi nitakupa uhangaike naye!

Ahsante mpwa. Ngoja nijaribu bahati yangu. Nikimkosa nahamia kwa Carmel au Nyamayao (nyamayetu?)
 
Kuna mmoja hapo ni mwanaume kuwa makini!

Mpwa unanitisha, post zao za kidemudemu lakini. Labda wanazo 2. Hahahaha! Nisije nikaliPM dume jenzangu, utakuwa msala unakutana kwenye kideti na lijitu kama Idi Amin. lol!
 
Ahsante mpwa. Ngoja nijaribu bahati yangu. Nikimkosa nahamia kwa Carmel au Nyamayao (nyamayetu?)

haaa labda jaribu hapo kwengine, mie na wewe kila cku tutaishilia kufungwa ma P.O.P......lol
 
Kivipi tena. POP nina allergy nayo. Kwahiyo natumia mbinu mbadala ya kuepusha kutundikiwa POP.
 
Mpwa unanitisha, post zao za kidemudemu lakini. Labda wanazo 2. Hahahaha! Nisije nikaliPM dume jenzangu, utakuwa msala unakutana kwenye kideti na lijitu kama Idi Amin. lol!

hivi huyo alietolewa kwa kubainika mjamzito ni kwamba na yeye hakujijua kama mjamzito au aliamua tu kucheza rafu......hii kitu mabinti wanaikurupukia sana.
 
Nasikia ni toa tiGo sasa sijui mimba iliingiaje !
 
hivi huyo alietolewa kwa kubainika mjamzito ni kwamba na yeye hakujijua kama mjamzito au aliamua tu kucheza rafu......hii kitu mabinti wanaikurupukia sana.

Sio wanaikurupukia shosti. Wanaipa ile kitu roho inapenda. Wanaipa haki yake mpaka wanapitiliza. Hahahaha!
 
ctakagi masihara na hawa watu....sasa mtu kama Chriss nina uhakika wa kuzicheza nae kila kukicha....

Do you real mean that? Kwa taarifa yako mi huwa sizichezagi na mabinti. Ulimi unatosha kumaliza kila kitu. Hahahahah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…