Vodacom mjitafakari!

Vodacom mjitafakari!

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
9,953
Reaction score
23,150
Sijawahi kusubscribe Wala kutamani kucheza kamali za mitandao. Chekecha mapene sijuiii chekecha hela nimejiunga lini?

Kima nyie! Kama mnadhani hela tunaokota sisi hatuokoti Wala sio watoto wa motsepe. Na wiki hii nabadili laini... Siwez kuendelea kurisk hela zangu kwa sababu ya njaa zenu.

Vodacom Tanzania

Screenshot_20240406-155041.png
 
Sijawahi kusubscribe Wala kutamani kucheza kamali za mitandao. Chekecha mapene sijuiii chekecha hela nimejiunga lini?

Kima nyie!. Kama mnadhani hela tunaokota sisi hatuokoti Wala sio watoto wa motsepe. Na wiki hii nabadili laini... Siwez kuendelea kurisk hela zangu kwa sababu ya njaa zenu
Vodacom Tanzania
Hii nchi imejaa wezi kila kona ukijichanganya hawachagui cha kuiba. Mimi kila nikiweka salio voda lazima webebe shs 100 sijui ni huduma gani wanakata
 
Voda ni vibaka waliovaa suti nilikopa 4000 nikasahau kujiunga bando kwa muda kama wiki kumbe Kuna huduma nimeunganishwa bila kujua kila siku nakatwa nakuja kuangalia Salio imebaki 700 kutoka 4000 nikasema asante sana mpaka miezi sita sasa sijaweka Salio

Voda imebaki nao sababu ya mpesa na kufanya manunuzi mtandaoni zaidi ya hapo hawana maajabu
Hawa jamaa mnaishi nao vipi mkuu mbona Wana mambo ya kiwaki sana. Mm nimenunua lain Yao mwaka jana mwez wa 12 lakin naona kama nimedandia mtumbwi wa vibwengo
 
Mimi salio langu voda ni shilingi 0.00 mwezi wa tatu sasa hivi. Nikitaka kujiunga bando nalipia kwa mpesa maana nikiongeza muda wa maongezi nikaacha salio wanakata 150 kila siku. Ukiuliza customer car wanasema umejiunga na playzone mara chekackeka sijui, uki unsubscribe baada ya siku mbili tatu wanaanza tena kukata salio
 
Back
Top Bottom