Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hawa jamaa mnaishi nao vipi mkuu mbona Wana mambo ya kiwaki sana. Mm nimenunua lain Yao mwaka jana mwez wa 12 lakin naona kama nimedandia mtumbwi wa vibwengoNa Ukiwapigia Simu Customer Care Yao Wameificha Kupata Huduma Ya Kuongea Na Mhudumu Wao Moja Kwa Moja
Wanafanya Huduma Zao Sababu Tayari Wana Brand Ila Huduma Ndio Hivyo.Hawa jamaa mnaishi nao vipi mkuu mbona Wana mambo ya kiwaki sana. Mm nimenunua lain Yao mwaka jana mwez wa 12 lakin naona kama nimedandia mtumbwi wa vibwengo
Hii nchi imejaa wezi kila kona ukijichanganya hawachagui cha kuiba. Mimi kila nikiweka salio voda lazima webebe shs 100 sijui ni huduma gani wanakataSijawahi kusubscribe Wala kutamani kucheza kamali za mitandao. Chekecha mapene sijuiii chekecha hela nimejiunga lini?
Kima nyie!. Kama mnadhani hela tunaokota sisi hatuokoti Wala sio watoto wa motsepe. Na wiki hii nabadili laini... Siwez kuendelea kurisk hela zangu kwa sababu ya njaa zenu
Vodacom Tanzania
Hawa jamaa mnaishi nao vipi mkuu mbona Wana mambo ya kiwaki sana. Mm nimenunua lain Yao mwaka jana mwez wa 12 lakin naona kama nimedandia mtumbwi wa vibwengo
Huduma ya chekecha eti zuchu ni msanii wa hip-hop au bongofleva? voda mawaki sanaHii nchi imejaa wezi kila kona ukijichanganya hawachagui cha kuiba. Mimi kila nikiweka salio voda lazima webebe shs 100 sijui ni huduma gani wanakata