Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Maka huu warembo ni wazuri kuliko wa mwaka jana... lakini there is nothing to expect as long as Hashimu bado ndio organizer
Naombea kabisa yafe hayo mashindano maana naona midume inaenda kuuza wallet pale badala ya kusaidia kwao walipotoka hata vyoo hamna
Kiingilio shillingi ngapi? Nilikuwa nimeshawatangazia watu kuwa naenda,..., itabidi nivunge kama nimeenda halafu naishia samaki samaki nakunywa soda yangu moja pale!
Najiuliza kulikoni zawadi ya mwaka huu kwa Miss Tanzania 2010 ni gari aina ya Hyundai i10 na fedha 10m cash wakati last year Miss TZ alikamata Suzuki Grande la 60m au ndio kufulia kwa vodacom? au vodacom mwataka kujitoa kwenye kudhamini mashindano haya ya Miss TZ yasiyo na mvutu huku kiingilia kikiwa cha juu sana cha TZS 100,000....?
Kiingilio shillingi ngapi? Nilikuwa nimeshawatangazia watu kuwa naenda,..., itabidi nivunge kama nimeenda halafu naishia samaki samaki nakunywa soda yangu moja pale!
hahhaaaa... last week nilikua swimming lesson Giraffe nikawaona, ila sitapoteza hata shilingi hamsini kwenda kuangalia the human zooKamanda kumbe hata kwenye fani hii umo? Sikuwezi!
Mzee umekumbusha mbali sanaa nimecheka kukumbuka utoto !!hahhaaaa... last week nilikua swimming lesson Giraffe nikawaona, ila sitapoteza hata shilingi hamsini kwenda kuangalia the human zoo
Ni bora huo muda tuwe kunahesabu mabasi ya mikoani pale ubungo
Kazi kama hizo anaziweza sana kuongeza hovyooonasikia Jakaya Mrisho Kikwete Mgeni rasmi.
baada yakutoswa na Maaskofu, mapadre, wachungaji na watu wa Mungu kule Mbeya kuna habari za chini ya kapeti mkuu wa nchi atahudhulia hafla hiyo na atatoa tuzo kwa mlimbwende bora wa mwaka huu.
Hawa mamiss mbona hawana tabasamu la bashasha kwa zawadi yao ya mkoko!..Sura kama wamekula ndimu!
Ukichukulia hapo itakuwa Eid el fitr naona hapa ndo patamu ....Katika halfa hizi kamwe hawezi kusema aiseeeee.!Kazi kama hizo anaziweza sana kuongeza hovyooo