Vodacom mnaboa na ofa yenu ya dakika moja

ngonani

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
1,366
Reaction score
597
Mimi ni mteja wa vodacom,ninakuwa bored na ofa yao ya kipuuzi ya hello Tanzania,wanaipa promo na matangazo kibao utafikiri ni ofa ya maana,eti sekunde 60 kwani wanaona aibu kuitaja kuwa ni dakika moja.Kinachoniudhi ofa ya kipuuzi ya aina hiyo wawe wanaitoa kimyakimya na sio kuipa promo kwenye vyombo mbalimbali vya habari na TV kwa gharama kubwa kwani haina maana,pia message wanatuma kila dakika,mara amka na sekunde 60,mara sekunde 60 zimekwisha n.k.Message ikkingia unaacha shughuli zako kufungua simu ukidhani ni message ya maana unakuta ni HELLO Tanzania.
Kama wako serious na biashara yao yenye ushindani mkubwa kwa siku za karibuni waweke promotion na zawadi kwa wateja kwamba ukinunua vocha tu unaingia direct kwenye shindano na sio shindano la kutakiwa kujibu maswali 1000 kwa siku,ilo halina mashiko.
Kama nimewaboa hamlazimishwi kufuata ushauri wangu.
 
Uko sawa mkuu na cyo voda peke yao hata airtel wana mambo ya kijinga kama hayo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…