mandawa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 772
- 1,119
Wadau hivi Vodacom wanawezaje kutoa numba tofauti ya kuwasiliana nao mbali na Ile ya 100 ambayo inahudumiwa na robot tu wala huwezi ongea na mhudumu.
Na hii walivotoa kama mbadala 0754705000 sio free lazima uwe na salio na kama haitoshi unakaa hewani nusu saa na zaidi hamna mhudumu anapokea.
Wanazidi kusema subiri ila hamna huduma na salio wa nakata, naomba uongozi mlishughulikie hili la customer care center na tunaomba iwe free