Wanajukwaa kuanzia leo nimeona mabadiliko kwenye Akaunti yangu ya Mpesa upande wa Tozo za kutuma Pesa kwenda Mitandao mingine na kwenye Tozo za lipa kwa Simu Ndo kusema kuwa vodacom wanapuuza Makubaliano waliyoyaweka, Watanzania wanyonge Tunalia na Tozo hizo!