Vodacom mnatuficha nini, kwanini hamlist Hisa Zenu

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Vodacom walianza kuuza hisa zao za IPO tarehe 9 march na kufunga tarehe 18 april, ila waliongeza muda kwakuwa hazikununuliwa kwa kiwango kilichotarajiwa. sasa toka wameongeza muda hatupati mrejesho wowote na uuzaji umefungwa , tunasubiri zitangazwe sokoni tuanze trading, mimi nahisi kuna kutapeliwa hapa. au tusubiri mpaka mwakani. mmekaa kimya kama vile hamujui watu tumekopa tukawekeza, mimi nimechukua mkopo wa mil 10 nikanunua hisa, ila wamechukua pesa zangu wamekaa kimya
 
Una moyo.mil 10 kwa ajili ya hisa.tena mkopo.
 
milion 10 uliweka hisa?mhh na hii hali ya uchumi isivyotabirika..! anyway watazitoa tu vuteni subira
 
Utaibiwa Mkuu!!Unanunua hisa bila kusoma prospectus!!
Prospectus Ina majibu yote...
 
Hisa ziliuzwa ghali kama kukomoa. Tutasubiria tununue mia mbili kwa hisa alafu zianze kupanda kuanzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…