Vodacom mnaweza kuwa wa kwanza kuharibu Ligi kuu msimu huu

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
28,916
Reaction score
40,479
Habarini Wadau,

Katika msimu uliopita wa ligi kuu ni wazi menejimenti ilijitahidi sana kuzuia weaknesses mbalimbali katika mechi zote isipokuwa ya ubadilishwaji wa ratiba na marefa waliopangwa mwanzoni.

Leo nimefurahi sana Wadhamini wa ligi hii itakayoanza mwezi huu huu (Kampuni ya simu ya Vodacom) kutoa zawadi mbalimbali ya vifaa kwa wachezaji wa timu zote husika..

Lakini cha ajabu eti wamechukua baadhi ya vifaa vya Yanga na kuwapa Simba, simba hao hao wanaojinasibu kuwa wana hela nyingi ndio maana hata wamefanya usajili mkubwa inakuaje wanakuwa na njaa kali hivi ya kudowea hadi traksuit, nguo za mazoezi na viatu?

Halafu nimemshangaa sana Wambura hajaongelea hilo jambo mpaka asubuhi hii zaidi ya kusema atahakikisha madhaifu ya msimu uliopita hautatokea.

Ni vizuri Vodacom mkalishughulikia hili kabla michuano haijaanza rasmi.

Ni ushauri tu.
 
Tanzania hakuna kitakachoharibika,wwe kalale uote Yanga wameendaa kwenye marudio ya kukabidhiwa vifaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo traksuit na nguo za mazoezi kwa kawaida ufanana na rangi za yanga yanga?
 
Back
Top Bottom