Vodacom Mpesa - Please Rethink your Strategy

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Vodacom Tanzania

Wanasema if it ain't broke don't fix it....

Ni ukweli usiopingika kwamba Mawakala ni Business Partners wenu, bila Mawakala basi hata kama mteja wa mwisho anapata punguzo kubwa huenda akakosa sehemu ya kutolea hilo punguzo (refer ule mtandao wenye makato madogo kuliko nyie..)

Sasa mlivyoanzisha issue ya kwamba kila wakala akijaza pesa zake ili kufanyia kazi anakatwa percentage.., (ingawa mmesema mmeongeza faida kulipishia hili ) LAKINI kuna tatizo moja kubwa ambalo linatokea.., baadhi ya Mawakala sasa hivi wanakuwa wavivu kuongeza salio kwenye simu, wanangojea mtu aweke ili zipatikane za kutoa.., vile vile wale wa kutoa pesa nyingi mara nyingine wanakuwa wanakosa huduma kwa Mawakala kudai hawana salio..

Please tafuteni njia nyingine ya kujipatia faida au kama hii ni faida ya kwenda kwa Mawakala Wakuu basi muongee nao hata mpunguze commission kwao ili wale wanaotoa pesa nyingi waendelee kupewa huduma kama zamani
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa hovyo sana kuna mdogo wangu anafanya hiyo biashara lain yake imepotea wakamwambia atafute loss report na kopy za tin na lecence sasa kajaza form mwezi anasubiri lain itoke hovyo siku zote hizi hafanyi kazi na haijulikani zitatoka lini kuna kadada hapo kanapokea hizo form nyodo kibao kuna jamaa alikuwa hapo mwazo ilikuwa inachukua 3 days tu
 
Hii ni sababu ya wapuuzi wachache wanataka Hongo na wanafanya kama vile kutoa lain ya mmpesa ni kama msaada, yaani wanatengeneza upenyo wa Hongo hawajui kwamba mwisho wa siku wanaharibu Kampuni... kama unamjua huyo dada ni jukumu la Vodacom Tanzania wamuondoe hapo sababu mwisho wa siku anawakosesha mapato na wateja anawakosesha huduma
 
Last edited by a moderator:
Wameshindwa kazi hao, hata line za kawaida kuirudisha hewani inachukua muda sana, labda wana mgomo baridi.
Hii ni sababu ya wapuuzi wachache wanataka Hongo na wanafanya kama vile kutoa lain ya mmpesa ni kama msaada, yaani wanatengeneza upenyo wa Hongo hawajui kwamba mwisho wa siku wanaharibu Kampuni... kama unamjua huyo dada ni jukumu la Vodacom Tanzania wamuondoe hapo sababu mwisho wa siku anawakosesha mapato na wateja anawakosesha huduma
 
Last edited by a moderator:
Na huyu Vodacom Tanzania sijui huwa anachagua maswali ya kujibu ? au labda leo hiki kitengo hawajaweka mtu au leo anayejibu yupo busy
 
Last edited by a moderator:
Vodacom Tanzania

Wanasema if it ain't broke don't fix it....

Ni ukweli usiopingika kwamba Mawakala ni Business Partners wenu, bila Mawakala basi hata kama mteja wa mwisho anapata punguzo kubwa huenda akakosa sehemu ya kutolea hilo punguzo (refer ule mtandao wenye makato madogo kuliko nyie..)

Sasa mlivyoanzisha issue ya kwamba kila wakala akijaza pesa zake ili kufanyia kazi anakatwa percentage.., (ingawa mmesema mmeongeza faida kulipishia hili ) LAKINI kuna tatizo moja kubwa ambalo linatokea.., baadhi ya Mawakala sasa hivi wanakuwa wavivu kuongeza salio kwenye simu, wanangojea mtu aweke ili zipatikane za kutoa.., vile vile wale wa kutoa pesa nyingi mara nyingine wanakuwa wanakosa huduma kwa Mawakala kudai hawana salio..

Please tafuteni njia nyingine ya kujipatia faida au kama hii ni faida ya kwenda kwa Mawakala Wakuu basi muongee nao hata mpunguze commission kwao ili wale wanaotoa pesa nyingi waendelee kupewa huduma kama zamani

Habari KeyserSoze suala hili limekwisha fikishwa idara husika na hapana shaka tutapeana mrejesho. Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Habari KeyserSoze suala hili limekwisha fikishwa idara husika na hapana shaka tutapeana mrejesho. Ahsante

Shukrani kwa kujibu, Hongera sana kwa hilo ila hii issue ni sensitive sana, watu wanaoweka pesa nyingi wanapata tabu sana sio kama zamani.., just imagine mtu anayeweka pesa nyingi kwa watu kila akijaza kwenye simu milioni tatu anakatwa elfu nane.., hizi mawakala wengi wanaona ni pesa nyingi sana hivyo pesa zikifika zero wanaacha kutoa huduma mpaka watu wa kutoa waje na pesa zijae automatically
 
Back
Top Bottom