Vodacom mpesa

Tirus

Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
50
Reaction score
13
FURSA NJEMA KWA KILA MTANZANIA.

HUU NI UKUMBUSHO Kwa Wale wote waliopata Tili zao za Vodacom Mpesa na wapo chini ya kampuni yetu.

Ndugu Wakala tunawapongeza kwa uvumilivu wenu na hatimaye kuona matunda ya uvumilivu wenu , hivyo basi endeleeni kunufaika na Biashara ya Vodacom Mpesa,endapo una tatizo lolote tuendelee kuwasiliana.

Vilevile endapo kuna Ndugu, Jamaa na marafiki wanaopenda kujiunga na Kuwa Mawakala wa Vodacom Mpesa, basi waambie wafuate utaratibu uleule, ambapo tutaomba atutumie photocopy ya TIN-TRA, LESENI pamoja na KITAMBULISHO CHAKE.

Hahakikishe Majina yote yanafanana kwenye LESENI, TIN-TRA pamoja na KITAMBULISHO chake.

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi-0768-684790 , 0787-899196 , 0756-027849 au ututumie e-mail kupitia cyrusomolo@gmail.com AU mnyambuenterprises@yahoo.com

Tunakutakia Mafanikio mema.
Cyrus Okolah Omolo
MNYAMBU ENTERPRISES-WAKALA MKUU WA VODACOM TANZANIA
S.L.P 281 MWANZA
S.L.P 156 BARIADI-SIMIYU
 
hili ni tangazo la vodacom au mtu binafsi kwa niaba ya vodacom?
 
unajitambilisha kama kampuni au mtu binafsi,..

La sivyo kuna element za ushawishi usiokuwa sahihi!!
 
Leseni ya nini,funguka,mtu una shida afu unaleta matangazo as if wamekulazimisha bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…