Ulipata kete ngapi na ulishinda sh ngap? Huu mchezo siuelewi ushindi wake!!! Umekaa kuliwaliwa tu!!Bro cheza upate kete nyingi utashinda kama mimi
Npe jina lake kesho nimwambie dmct kakuelewaKila nikiweka salio wanakata nimewapigia wakawa wapolee... Hadi nikatamani kumtongoza yule customer care[emoji28] [emoji28] [emoji28]