Kuna mtandao bomba na makini zaidi ya vodacom nchi hii??Bado unatumia Vodacom mkuu?
Ipo kwenye website yao check this link:Welcome to Vodacom TanzaniaNani amewahi kuona Terms and Agreement za hii mitandao kwa wateja wao? kama mtu anayo anaweza share hapa.
Kakudanganya nani?Kuna mtandao bomba na makini zaidi ya vodacom nchi hii??
Ndio ukweli huo, kwa ubora hamna kama vodacom.Kakudanganya nani?
Labda zamaniNdio ukweli huo, kwa ubora hamna kama vodacom.
Wako mbele kwa kila kitu, wao huanza wengine wanafata.
Hata sasaLabda zamani
Sasa hivi wamelemewaHata sasa
Pamoja na kulemewa bado ni nambari unoSasa hivi wamelemewa
Una mahaba na Vodacom tuPamoja na kulemewa bado ni nambari uno