M Mwalaye Senior Member Joined Jun 17, 2021 Posts 171 Reaction score 233 Jul 4, 2021 #1 Hivi ni lazima kubadili 3G kwenda 4G nikamuone wakala wenu? Hamuwezi kutupa namba za kubofya tukabadili wenyewe?
Hivi ni lazima kubadili 3G kwenda 4G nikamuone wakala wenu? Hamuwezi kutupa namba za kubofya tukabadili wenyewe?
DellaPina JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 1,011 Reaction score 3,471 Jul 4, 2021 #2 Hamia kabisa 5G kwa sababu hapo 4G hautakaa muda mrefu