Makampuni ya simu ya VODACOM na AIRTEL yameonekana kufanya vizuri kwa simu za nje ya nchi , yaan international incomming calls na out going calls , TIGO inafuatia pia kwa karibu , huenda VODACOM wanaongoza kutokana na kuwa na partner companies nyingi chini ya mwamvuli wa vodafone , au wana gharama nafuu kulingana na wenzake?
Lakini pia inawezekana TIGO inatumiwa zaidi na wateja wasio na connection za nje (just joking)