Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Nijuavyo mimi dakika moja ina sekunde sitini, sasa yaani nimechanganyikiwa kabisa hapo kwenye "sekunde moja kwa dakika".VODACOM nao waanzisha sekunde moja kwa dakika
Nijuavyo mimi dakika moja ina sekunde sitini, sasa yaani nimechanganyikiwa kabisa hapo kwenye "sekunde moja kwa dakika".
Kama ujuavyo, pamoja na kwamba jabulani imetumika katika WOZA 2010, ubunifu wake ulianza mapema kabisa na kwa mara ya kwanza ulitangazwa rasmi mwaka 2009 kuwa utatumika katika World Cup, so mimi nilishaujua mapema mwaka jana!Mkuu Jabulani hili jina ulilipata vipi? unajua mimi nimelisikia juzi tu kwenye kombe la dunia!
wao ni "Waongo, wezi wakubwa" na wewe ni mjinga, teja mkubwa!Waongo, wezi wakubwa hawa, hebu weka hiyo voha yako halafu upige, wamenitumia sms jioni hii ya kueleza hivyo but hakuna lolote
Waongo, wezi wakubwa hawa, hebu weka hiyo voha yako halafu upige, wamenitumia sms jioni hii ya kueleza hivyo but hakuna lolote
Nimepata ujumbe huu toka VODACOM; HABARI NDIO HII: Ongea kwa Tsh. 1 kwa sekunde kila siku masaa 24 asubuhi, mchana, jioni na usiku mzima.
This is a good move ushindani uendelee... Wateja tufaidike na unafuu wa gharama za CM.
Tunataka wapunguze na kwenye mambo ya data(intaneti) hapo ndio tutafauduNimepata ujumbe huu toka VODACOM; HABARI NDIO HII: Ongea kwa Tsh. 1 kwa sekunde kila siku masaa 24 asubuhi, mchana, jioni na usiku mzima.
This is a good move ushindani uendelee... Wateja tufaidike na unafuu wa gharama za CM.
Nataka kuwaelezeeni hawa vodacom wasijewakawapa filimeeee hii ni sheria walipewa! me najua fika hapo nyuma makapuni yote ya simu yalitangaziwa kupunguza gharama za kucharge wateja wao sasa wao nao wanataka kutudanganya and this goes to whole Mobile Companies wasitupe Filimeeeee hapa ati wamepunguza bei ni shiling kwa secnds waaache uongo ni sheria inafutwa na wasiwazuge wananchi kwani watu hapo nyuma kitambo walilalamika kuwa gharama ziko juu sana za makapuni ya simu.
I dont buy it never at all
mimi nadhani ni ushindani tu! Labda Voda wameguswa na lile tangazo la Zain linaloponda mabadiliko ya bei ikifika jioni. Hivi kuna sheria inayolazimisha bei? Mbona TTCL hawajapunguza ina maana wanavunja sheria hiyo?