Njunwa bado inagoma sijui wameshtuka au ? kweli mimi Voda hapana kwenye Internet AAaa NoWakipandisha na bando njoo hapaFree Unlimited Internet with Meteor Vpn TZ
Habari wana jf voda wamepandisha bei za vifurushi vya cheka bila taarifa na sababu maalumu huu ni wizi kabisa.
hamia eyateli.....
Mimi kwangu nimekuta wamepandisha.......na akiba yangu wamekula.......niende wapi wallah mie.....