Vodacom ni Wezi?

Dah! Halafu bando zao zinatembea kweli kweli!! Yaani kifurushi cha wiki, kinaisha ndani ya siku 3 tu! Hapo umeingia tu JF na whatsapp!!

UKi download kitu, humalizi siku 2!! Vodacom Tanzania, haki ya nani mtaisikia tu pepo kwa majirani zenu.
 
Niko vodacom kwa zaidi ya miaka 10..ninachojua sip tu wezi..pia ni wachawi. Kwanza bundle nyingi bei ina tofauti kwa mteja na mteja kulingana na matumizi yako. Lakini mbaya zaidi nilipoona nanunua salio au natuma pesa haifiki na salio wanachukua niliamua kuwahama..Huwezi amini nilifanya tu kubadili namba ya simu na sio kuhama voda😭😭😭πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί. Nilitupa line yanhu na nikaenda tena voda kusajili nyingine. NI WACHAWI, KUJINASUA UENDE TU KWENYE MAOMBI. MIMI PIA NITAENDA1πŸ₯ΊπŸ₯Ί
 
Yaani sometime wanatuma msg eti bado mb 150, unaamua kuzimansata na kusign out insta kupunguza matumizi. The ushazima.data unaambia kifurushi kimeisha
 
Na waziri kakalisha tu naniliu zake anakula kiyoyozi
 
Yaani sometime wanatuma msg eti bado mb 150, unaamua kuzimansata na kusign out insta kupunguza matumizi. The ushazima.data unaambia kifurushi kimeisha
Kuna siku nilikuwa mjin YouTube ckuwa na mb nying sn ila zilikuwa 250 tu. Sasa natoka huko mjin youtube narud nyumbn kwetu homepage nikaletewa sms hapohapo eti data zimeisha. Nikasema ningejua ningebaki huko huko YouTube 😁😁😁
 
Ulichomoa? Ndio kosa, ungebaki humo humo
 
Oneni Voda walivyowezi. Yani nimeliza salio mara mbili ndan ya dak moja nikiwa nimefunga data na haya ndiyo majibu ya salio languπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Nimejiunga Jana usiku wa saa 2
kifurushi cha wiki cha mb 550 kwa 1,000 .nikaingia jf kidogo kwa kuwa nilikua nimechoka nikazima DATA NIKALALA.naamka saa 9 usiku huu nasema acha niingie Instagram.
Ndani ya dakika 3.naambiwa data zimeisha.
Mbaya zaidi walivyo wezi wanakula kimya kimya
zamani walikuwa wanakwambia umetua data kiasi kadhaa umebakisha kiasi kadhaa.lakini Sasa hivi NI mwendo wa kimya kimya.baadae nitawapigia.
 
Yani kuingia uko na izo mb. Ndo umejiroga. Vd ni noma na wako speed kweli kweli kutuibia mb zetu. Tofauti na Halotel, mb zao zinaenda taratibu sn, sema mtandao ndo kimbembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…