Ukweli kbsWengi wanalalamikia Mitandao bila kuelewa,Unakuta kasett automatic downloads wasapu,sijui telegram ku update App automatic ana App unnecessary,bando linawahi kuishia anaanza kulalamika Mtandao Fulani ni wezii wakati hajaangalia simu yake vizurii + matumizi yake.Nani hajui Insta inakula Mb?Nani asiye jua YouTube Vidmate wanakula mb pasipo kawaida?
Yani kuingia uko na izo mb. Ndo umejiroga. Vd ni noma na wako speed kweli kweli kutuibia mb zetu. Tofauti na Halotel, mb zao zinaenda taratibu sn, sema mtandao ndo kimbembe
Njoo PM nikutafsirieLugha ya malkia Mimi siiweziiii [emoji1787]
Atakuwa ameweka Auto update kule playstore, akifungua tu data, matumizi yanaanzia kule kwanzaAngalia Kuna apps itakuwa zinakula data hata kama haujazifungua usiwalalamikie Voda check your phone pia punguza mi application ambayo unaona haina kazi.. halafu usikute umeweka 4G unakuja kulalamika huku unafikiri 4G inakula pipi ndugu..? Ile inatafuna mb haswaa..[emoji23]
kasesela zakeNa waziri kakalisha tu naniliu zake anakula kiyoyozi
Usijidanganye hata siku moja kwenda kushtaki TCRA aagh wale watu mbingu wataisikia kwenye movie tuNdio, Vodacom ni wezi na wanalindwa na TCRA
Una uhakika hujawahi kuvuta bangi?Hamazisha watu kuhama ili wajirekebishe.
Dadeeeeki, acha uchoyo. Nipatie kidoogo aiseeeee. Nina kitu ya Mbeya ni hatareeeeeBangi naigonga kwa viwango, ili kupambana pasipo kuogopa.
Nilishangaa Halotel nilinunua bundle la GB 10 ndani ya siku 3 naambiwa bundle lako limeikwisha!!Yaani sasa hivi 1GB inakata unaweza hisi simu inatobo MB zinamwagika
Mitandao ipo kibao, kama unaona voda ni kabila huwezi badili endelea kukamuliwaTangu Vodacom Tanzania wapunguze Bundle wamekuwa na tabia ya kutokutuma ujumbe wa kiasi cha bundle ulichonunua, thamani yake na muda wa matumizi! Nimejaribu kuwasiliana nao bila mafanikio.
Jana nikajiunga tena na bundle ya week ya Tzs 3,000 ila sijapokea SMS tena inayoosha thamani, kiwango na muda wa matumizi. Kwa bahati mbaya sana mchana huu wananiambia kifurushi kimeisha!
Na Jana muda mwingi SAna nilikua offline. Kimetokea nini? Nimenunua tena mchana huu issue iko pale pale.
Na hii niliwahi experience Mara kadhaa huko nyuma. Ukinunua kifurushi halafu hupati SMS alert basi ujue hio bundle haina uhai mwingi.
Ukiwapigia ukabahatika kuwapata, sana majibu ya kukaririshwa mno! Hawanaga msaada wowote.
Anyway, nimenunua tena wacha tuendelee kunyanyaswa.
Halotel na wenyewe ni wezi tu kama voda.Nilishangaa Halotel nilinunua bundle la GB 10 ndani ya siku 3 naambiwa bundle lako limeikwisha!!
Nakuja, ufungue mlango kbsNjoo PM nikutafsirie
YawezekanaNawashangaa sna mnaosema halotel haina speed
Labda kutokana na eneo ulipo
Nilikua nimefunga PM ila nimefungua kwa ajili yakoNakuja, ufungue mlango kbs
Nashukuru sn kwa moyo huo mkunjufuu[emoji1751]Nilikua nimefunga PM ila nimefungua kwa ajili yako