Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
-
- #101
Haya faster faster kabla hawajaniibia bando langu. Unajua tangu nijiunge JF miaka 13 iliyopita sijawahi kuona wizi kama huuNashukuru sn kwa moyo huo mkunjufuu[emoji1751]
Kichwa akipiti kwenye tundu la sindano ama[emoji40][emoji23] hicho kichwa cha uzi sasa
Mh! Hili umenena weyeKichwa akipiti kwenye tundu la sindano ama[emoji40]
Ahahaha eti wakuibie. Wntk umalize haraka Ili ununue jipyaHaya faster faster kabla hawajaniibia bando langu. Unajua tangu nijiunge JF miaka 13 iliyopita sijawahi kuona wizi kama huu
Mi-5 tena!Tangu Vodacom Tanzania wapunguze Bundle wamekuwa na tabia ya kutokutuma ujumbe wa kiasi cha bundle ulichonunua, thamani yake na muda wa matumizi! Nimejaribu kuwasiliana nao bila mafanikio.
Jana nikajiunga tena na bundle ya week ya Tzs 3,000 ila sijapokea SMS tena inayoosha thamani, kiwango na muda wa matumizi. Kwa bahati mbaya sana mchana huu wananiambia kifurushi kimeisha!
Na Jana muda mwingi SAna nilikua offline. Kimetokea nini? Nimenunua tena mchana huu issue iko pale pale.
Na hii niliwahi experience Mara kadhaa huko nyuma. Ukinunua kifurushi halafu hupati SMS alert basi ujue hio bundle haina uhai mwingi.
Ukiwapigia ukabahatika kuwapata, sana majibu ya kukaririshwa mno! Hawanaga msaada wowote.
Anyway, nimenunua tena wacha tuendelee kunyanyaswa.
Tayari limeishaAhahaha eti wakuibie. Wntk umalize haraka Ili ununue jipya
Ahahaha mkuu, sie ndo hatulalagi mida km hii eh?Tayari limeisha
Hahahahaha acha tuAhahaha mkuu, sie ndo hatulalagi mida km hii eh?