Nami nasema wakatwe tu.... Wamezidi jeuriHahahaaa. Nilikuwa najipitisha watani zangu Ghazwat na Barafu ya moto wanione baada ya goli la pili la stand. Teh.
Na leo wasipokuwa makini unakatwa Shoga.
emmyta furaha yako itaisha hivi karibuni. Ushindi ni jadi yetuHahahaaa. Nilikuwa najipitisha watani zangu Ghazwat na Barafu ya moto wanione baada ya goli la pili la stand. Teh.
Na leo wasipokuwa makini unakatwa Shoga.
Karibu me mwenzio nimehamia jumlakidoogo sana
Hahaha. Leo kazi wanayo aiseee.Nami nasema wakatwe tu.... Wamezidi jeuri
Hahahaaa. Nilikuwa najipitisha watani zangu Ghazwat na Barafu ya moto wanione baada ya goli la pili la stand. Teh.
Na leo wasipokuwa makini mkia unakatwa Shoga.
ngoja tusubiri mpira uishemechi inaweza kwisha hata dakika 30 wachezaj wakabak kufukuza upepo tu
Hahaaa. Mtani mie nipo hapa hata sibanduki hadi mwisho.emmyta furaha yako itaisha hivi karibuni. Ushindi ni jadi yetu
haupo Yanga tena[emoji17][emoji17][emoji53][emoji29][emoji29][emoji19][emoji19]Karibu me mwenzio nimehamia jumla
Na nilichojionea Watani zangu ni wengi sana humu na muda huu wanapita kimya kimya mpira ukiisha ndio wanakuja wale wenye mioyo ya plastick kuja kumwaga povu.hahahaha wanapita hapa wanaona subir wapate goli la 3 watatushukia kama mwewe kaona kifaranga
Ushindi lazima. Huo ni upepo tu unapita emmyta mkuuNa nilichojionea Watani zangu ni wengi sana humu na muda huu wanapita kimya kimya mpira ukiisha ndio wanakuja wale wenye mioyo ya plastick kuja kumwaga povu.
Ila walizidi sana tambo 4G 4G iko wapi sasa leo?
4G iko pale pale tu.Na nilichojionea Watani zangu ni wengi sana humu na muda huu wanapita kimya kimya mpira ukiisha ndio wanakuja wale wenye mioyo ya plastick kuja kumwaga povu.
Ila walizidi sana tambo 4G 4G iko wapi sasa leo?
Hahahaaa. Mtani nitaamini baada ya dk 90 kwisha.Ushindi lazima. Huo ni upepo tu unapita emmyta mkuu
Hahahaa. Eti eeee.4G iko pale pale tu.
Hapo sasa ndio wana haribu simba46' MAVUGO anakwenda benchi na nafasi yake anachukua Luizio