Vodacom Premier League 'VPL' Alliance FC Vs Simba SC, Furaha Kwa Wanasimba Uwanja wa Kirumba

90+3' Kuelekea kumalizika kwa mchezo huu VPL

Anakwenda kwake Mkude, lakini mpira unatoka nje, ni wa kurusha

Wakati wowote mpira utamalizika bado sekunde chache

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwishaaaaa, Simba SC wakiibuka na ushindi mnono wa mabao manne kwa moja dhidi ya Alliance FC

Mabao yakwekwa kimiani na Mkude 45+3' Kagere 58' Chama 64' na Dilunga 73'

Huku la Alliance FC likifungwa na Patrick 27'

FT: Alliance FC 1-4 Simba SC

....Ghazwat...
 
Mhola nkoyi, duleminyiwa na bhuyegu duhu nsumba gwichane
ahahaa! goshi ubhebhe masele oja mjini ojilema ijisuguma!!! ulintweneki goshi nyandebhe gete!! gojaga nize ko. ululaniyombye jiswahili nalegotandagula malang'ha gete!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…