VPL, Yanayojiri viwanjani leo;
Mechi kati ya Polisi Tanzania na Mwadui FC imeahirishwa baada ya Uwanja wa Mwadui Complex kujaa maji
Mechi kati ya Lipuli FC na Ndanda FC imeahirishwa baada ya Uwanja wa Samora kujaa maji kutokana na mvua zinazonyesha.
Wataendelea kesho pale walipo ishia leo even15'Yanayojiri viwanjani VPL
Pambano la KMC na JKT limevunjwa na mwamuzi baada uwanja wa Uhuru kujaa maji huku ikiwa hawajafungana
TFF wamekurupuka, huwezi ukasema wachezaji wasisalimiane kwa kushikana mikono wakati muda wote uwanjani wanagusana.
Kwa kosi hili [emoji110] kama una mke muweke rehani upate wake wawili