Vodacom Premier League VPL' Lipuli FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Samora Iringa

30' Lipuli walijaribu kwa shambulizi ambalo mlinzi Kennedy alicheza vizuri kuokoa hatari ile

Paul Ngelema wa Lipuli FC, anaonyeshwa kadi ya njano kwa kukataa amri ya mwamuzi
 
Mpira mkali na wa nguvu kwa pande zote, huku magolikipa wakifanya kazi vema kabisa.

Lipuli FC 0-1 Simba SC
 
44' Free Kick kuelekea Simba, anapigaaa Masumbuko lakini anababatiza ukuta wa Simba, unakuja katikati mpira....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…