Yaa upo kwa mwaduiAisee ushindi upo kweli leo?
Muda utaongeaYaa upo kwa mwadui
Pacha mnachomoa betri ama? πππTunachomoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakuja kumalizia kicheko changu kesho alfajiri.
#Mungupokeaduazangulisikombolewehiligoli[emoji23][emoji23][emoji23]
Naenda kuagiza chap. ππππNaomba uagize mirinda nyeusi nakujaa
Mhh huyo sio Munguπππππ
Ntakuja kumalizia kicheko changu kesho alfajiri.
#Naombalisikombolewehiligoliπππ
Chama mnywa pombe πππKocha wa Simba Aussein hafanyi sub kwa wakati.
Toa kahata weka Miraji Athumani.
Toa Chama mnywa pombe weka Ajibu.
Toa Haraka hao chapombe, tunataka ushindi
Dua tafadhali iendelee mambo yabaki hivi hiviNaenda kuagiza chap. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]