Simba inabanwa na Mwadui. Je ingecheza na Pyramids ?? Kama kiwango ni hichi !!
Hamna timu hapo. Mishahara juu .. pesa nyingi ... kiwango duni.
Hata Mwadui
Nipe matokeoTunachomoa
ngapi ngapi,dk ya ngapi?Tunashinda hii Mechi[emoji123][emoji123]
Tutashinda tu Mwadui wana nini wanakamia tuSimba [emoji24][emoji24]
simba na yanga hakuna kitu,maneno tu mengiSimba inabanwa na Mwadui. Je ingecheza na Pyramids ?? Kama kiwango ni hichi !!
Hamna timu hapo. Mishahara juu .. pesa nyingi ... kiwango duni.
Hata Mwadui
ngapi ngapi mkuuShinyanga ni eneo hatari Sana kwa timu kubwa,wakikulenga ....!
Mwadui 1 Simba 0,na mpira umekwishangapi ngapi mkuu
ndo mkome kelele mbwa koko wa kkoo mnaojiita simbaTumepigwa..sio inshu lkn..
afadhali,nchi ipoe,maana simba hujiona liverpoolMwadui 1 Simba 0,na mpira umekwisha
Tunashinda hii Mechi[emoji123][emoji123]