Vodacom Premier League (VPL) Simba SC dhidi ya Biashara United, Uwanja wa Taifa

Wadau wa Mpira tupaze Sauti Wizara ya Michezo wausimamie Vizuri uwanja wetu wa Taifa siyo kukusanya Pesa pasipo ukarabati. Canopy za Milango ya Geti kubwa za kuingilia kwa juu bomba zake zimeoza na kutu ya hatari, Vyooni hakuna maji wala taa, viti vingi vimekatika na kuegeshwa kwa Waya. TFF nina wasiwas hata ile fedha ya Simba ya Kuvunja Viti huenda haikufanya kazi kwa Ufanisi. Kwa kifupi Uwanja huu hauna miaka Mingi uwe hofu. Inauma
 
Muda mchache mtanange utaanza Uwanja wa Taifa.

Naaaaaaam mpira umeanza ni ligi kuu Tanzania safari ya dakika 90 kati ya Simba SC Vs Biashara United
 
Hayo madai 'em' kwanza tupate matokeo ya mtanange huu....japo yana msingi sana
 
Wanachukua Biashara, lakini wanapoteza kwake Luis Miquissone anaambaaa....Ni faulo kuelekea Biashara
 
Kagere anakwenda kwenye lango la biashara lakini anatokea golikipa Mgore na kuokoa hatari ile...yupo chini golikipa amepata rabsha, ameinuka kipute kinaendelea

Simba SC 0-0 Biashara Utd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…