Vodacom Premier League (VPL) Simba SC dhidi ya Biashara United, Uwanja wa Taifa

45+3' Kona kuelekea Simba, inapigwa wanapoteza biashara

Redondo anakwenda sasa upande kulia anamtafuta Atupele, lakini mpira wanaumiliki Simba tena kwake Tshabalala, kwake Kahata, kwake Luis, anagonga kwake Chama zinapigwa pasi za kiwango cha SGR

Naaaaaaam mpira ni mapumziko Simba wakitangulia kwa bao moja bila.

VPL, HT: Simba SC 1-0 Biashara Utd
 
Kipindi cha pili kimeanza Simba wakiwa na faida ya bao moja likiwekwa kimiani na Luis Miquissone
 
50' Ni free kick kuelekea Biashara anapiga Wawaaaaaa, lakini golikipa anatema na kudaka tena..
 
Edwin anaruka juu, lakini mwamuzi anasema Nyoni umefanya faulo

Wanakwenda sasa biashara Atupele, unamkuta Abdul Majid lakini unazuiliwa na Kapombe
 
Kona, inapigwaaaaaa Kona lango la biashara lakini inaokolewa

Simba SC 1-0 Biashara Utd
 
Gòòooooooooooooooooooooooolooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooolooaaaaaaal MABINGWA 2 Biznes 0 ......
 
68' Luis anakwendaaaaa pembeni mwa Uwanja anapiga krosi sukari unamkuta Kagereeeeee Goooooooooooooooooooaaal

Kagere anahesabu bao la pili kwa krosi sukari kutoka kwa Miquissone

Simba SC 2-0 Biashara Utd
 
71' Anakwenda Goooooooal, biashara wanapata bao kupitia kwa Dismas baada ya mabeki kuzembea kuokoa hatari langoni mwao

Simba SC 2-1Biashara Utd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…