Nakubali........Sibishi.......hiki kifaa hakina mpango wa kupiga viwiko......!!!Huyu Luis mikson ni mtu na nusu, simba tumefanya usajili wa maana Sana hapa
Upande wa pili hawana raha kabisa kwa kumuona huyu dogo, Miquissone mavitu, ana vitu vingi sana ila kasi yake ni hatari zaidi.Nakubali........Sibishi.......hiki kifaa hakina mpango wa kupiga viwiko......!!!
Bado mbili moja mkuu
Simba imeongeza goli la tatu muda huu.
Simba noma mkuuduuuh,hii timu ni hatari aiseee
Huwezi kuwaona hapa, siku hizi wanaitwa ni wazee wa sare sare.habari mbaya kwa vyura FC