Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

Yaliyojiri leo bungeni jijini Dodoma:

Wabunge ambao pia ni wanachama na mashabiki wa klabu ya Simba wakiongozwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai leo January 29, 2020 wamefungua tawi bungeni likiwa ni tawi la kwanza ndani ya bunge jijini Dodoma..NguvuMoja
 
Wouzeeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Wakati wowote mpira utaanza VPL

Timu zote zipo Uwanjani kupata utambulisho na kupata picha za kumbukumbu.

Naaaaaaam kipute kimeanza hapa Uwanja wa Taifa

Simba SC Vs Namungo FC
 
05' mechi imeanza kwa kasi ya aina yake huku Simba wakilifikia lango la Namungo FC mara mbili dhidi ya mara moja.

Simba SC 0-0 Namungo FC
 
10' Ni VPL ambapo milango bado migumu pamoja na kuwa na majaribio ya kupata bao kwa upande wa Simba

Kona kuelekea Namungo inapigwaaaaaa golikipa anadaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…