Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

Hongera Mtani.

Mmestahili japo wamenikera sana KMC [emoji41]yaani wamebana wee mwishowe wanaachia. [emoji17]
Kwani unadhani wametaka kufungwa ni muda tu ulikuwa haujafika..Kwa Simba hii ya viwango vya CAF hakuna mfano wake!

Yaaani tunacheza kibingwa kung.. kung..kung.. kama Bruce Lee, si umeonaaa!
 
Kwani unadhani wametaka kufungwa ni muda tu ulikuwa haujafika..Kwa Simba hii ya viwango vya CAF hakuna mfano wake!

Yaaani tunacheza kibingwa kung.. kung..kung.. kama Bruce Lee, si umeonaaa!
Hahahaaa!! Unavyonitambia Mtani haya nasubiri nione hicho kiwango chenu huko CAF.

Umefanya nimkumbuke ropo ropo wenu. 😅😅😅 Tambo zote hizo lakini akishikwa penyewe hakaiwii kulengwa lengwa na machozi. 😅😅
 
Na ndio huwa hivo.

Mtani nakusubiri tarehe 8, safari hii hakuna sare ni either Mnyama afie pale, au chura azame kwenye tope. Ila mnyama huwa hafi mjini
Tuombe uzima panapo majaaliwa hapo ndio tutazijua mbivu na mbichi.

Pia niseme tu jiandae kisaikolojia. 💃
 
Hahahaaa!! Unavyonitambia Mtani haya nasubiri nione hicho kiwango chenu huko CAF.

Umefanya nimkumbuke ropo ropo wenu. 😅😅😅 Tambo zote hizo lakini akishikwa penyewe hakaiwii kulengwa lengwa na machozi. 😅😅
Huko kwenye CAF utakuwa unawaonea bure Simba niliangalia game ya raja Casablanca vs Tp mazembe robo fainal pamoja na Zamalek vs Esperance namna walivyokuwa wanashindana ni next level mpira ulikuwa una kasi mda wote watu wanapishana utazani wanacheza tennis hawakupi hata nafasi ya kufanya mbwembwe na kwa aina ya beki za Simba wazito game inaisha half time.
 
Sijaelewa sasa hivyo hizi sifa wanajipa za bure eee au?
 
Kwa taarifa yako mziki huo ndio utakaoletewa wewe tarehe nane mwezi wa tatu mwaka twente twente, upo hapo Shadeeya? Kaeni mkao wa kuliwa
Hizi game tuachage kuzitabiri Ses kwani huwa mwisho wa siku watu wanarudi na maumivu tu na wengine hadi kuzimia kwa kudhania game ya Yanga na Simba zinatabirika.
 
Hizi game tuachage kuzitabiri Ses kwani huwa mwisho wa siku watu wanarudi na maumivu tu na wengine hadi kuzimia kwa kudhania game ya Yanga na Simba zinatabirika.
Labda kama mtatembeza muamala mpate japo penati ya kuchomekea ili liwe angalau goli la kufutia machozi maana mbili au tatu zinawahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…