Vodacom Premier League: Yanga SC 0 Vs 1 Azam FC

Azam nipigie hao vyura, haujawahi niangusha
 
Naona mashabiki wa Yanga wamelala mbele
 
52' Shuti Chirwa linapaa nje ya lango la Yanga. Azam kwa kipindi hiki cha pili wanejaribu zaidi kufikia lango la Yanga
 
57' ametoka Sibomana na ameingia Nchimbi upande wa Yanga
 
67' Ametoka Chirwa na ameingia Tigere upande wa Azam
 
Free kick kuelekea Azam FC anakwenda kupiga Molinga sasa

Molingaaaa njeeeee

Azam FC 1-0 Yanga African
 
WANA VYURA WENZANGU TUANDAMANE TUMEPIGWA HUYU LUC NI HEWA 😝😝😝
 
Kasekeeeee, la la la, ilikuwa hatari sana, Kaseke anashindwa kuiandika Yanga bao baada shuti lake kutoka nje

Azam fc 1-0 Yanga sc
 
77' Shikalo anaokoa vizuri mpira wa kona

Mabadiliko, ametoka Chilunda na ameingia Ngoma Azam FC
 
Yikpe amengia badala ya Balama upande wa Yanga African
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…