Hivi Yale maneno ya simba wameleta kishingo yameishia wapi?
Kumbe mna haki January 4 kufurahia draw kwa vipigo mnavyopigwa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Sijawahi ona timu ya mpira inasajili wachezaji zaidi ya 15 kwa msimu ila yanga wamefanya hivyo. Sasa hiyo ni timu ya mpira au rede?