KERO Vodacom punguzeni wizi na utapeli

KERO Vodacom punguzeni wizi na utapeli

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

GEBA2013

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
4,880
Reaction score
6,047
Vodacom mmekuwa wezi na matapeli, mnachukua pesa za watu kwenye M-pesa na muda wa maongezi kitapeli.

Mara nyingi nimevumilia inatosha. Hii laini kama sijachoma moto basi sitatumia tena.

Utaratibu wa kupiga simu huduma kwa wateja ili kuongea na wahudumu mmeondoa.

VODACOM MUWE NA HURUMA KUWAIBIA WATEJA WENU.
 
Hiyo line nilishaitupaga muda sana nilivyoona tu ukikaa miezi mitatu hujatumia wanafunga nawaona hawana akili ,mtu uende nje ya nchi ukae miezi 3 urudi unakuta line imefungwa sasa kwa dunia hii ya leo si kila siku utakuwa unahangaika kusajili line .....
 
Voda ni nzuri kwa kufanya manunuzi mtandaoni nilishaacha kuweka Salio mwezi wa sita sasa
uliacha sbb ya uwizi bilashaka.wanakata salio yako bila sababu yeyote ile.ukiacha salio kila siku wanachukua kidogo kidogo.sikuhizi wanachukua hadi kwnye ac ya mpesa ya mteja,ukiwapigia watoa huduma wao HAWAPOKEI SIMU utahangaika mpaka utachoka.WALISHAWAHI KUNICHUKULIA PESA KWENYE AC ANGU YA MPESA.kwenye salio imekuwa km kawaida yao
 
Vodacom mmekuwa wezi na matapeli, mnachukua pesa za watu kwenye M-pesa na muda wa maongezi kitapeli.

Mara nyingi nimevumilia inatosha. Hii laini kama sijachoma moto basi sitatumia tena.

Utaratibu wa kupiga simu huduma kwa wateja ili kuongea na wahudumu mmeondoa.

VODACOM MUWE NA HURUMA KUWAIBIA WATEJA WENU.
The best solution ni kutupa line yao unless imei commit kwenye many of your transactions
 
Umeibiwa mara ngapi? Ndugu mteja karibu udufuma kwa watefeja
Ni mara nyngi tu nikipiga huduma kwa wateja process nyngi bila soln.leo tena nikaweka buku kwenye salio wakanikata mia3 bila sababu.niliwahi kuacha buku na jero kwenye salio na nilikuwa na muda wa jirushe wa wiki lakin cha kushangaza wanacgukua kila siku kidogo kidogo bila taarifa.
 
HUDUMA YA WATEJA IPI ILE YA 100 AMBAYO HAMPOKEI NI MAELEZO TU AU NYINGINE.
Ingia DM yetu ya Instagram tukusaidie mpendwa mtefeja hatuna hudufuma ya kupokea Simu za wateja siku hizi hudufuma hio tumeifuta halafu TCRA wanatuchekea tu
 
Sio voda tu, kwakweli tunapigwa sana kwenye vifurushi
 
Back
Top Bottom