uliacha sbb ya uwizi bilashaka.wanakata salio yako bila sababu yeyote ile.ukiacha salio kila siku wanachukua kidogo kidogo.sikuhizi wanachukua hadi kwnye ac ya mpesa ya mteja,ukiwapigia watoa huduma wao HAWAPOKEI SIMU utahangaika mpaka utachoka.WALISHAWAHI KUNICHUKULIA PESA KWENYE AC ANGU YA MPESA.kwenye salio imekuwa km kawaida yaoVoda ni nzuri kwa kufanya manunuzi mtandaoni nilishaacha kuweka Salio mwezi wa sita sasa
The best solution ni kutupa line yao unless imei commit kwenye many of your transactionsVodacom mmekuwa wezi na matapeli, mnachukua pesa za watu kwenye M-pesa na muda wa maongezi kitapeli.
Mara nyingi nimevumilia inatosha. Hii laini kama sijachoma moto basi sitatumia tena.
Utaratibu wa kupiga simu huduma kwa wateja ili kuongea na wahudumu mmeondoa.
VODACOM MUWE NA HURUMA KUWAIBIA WATEJA WENU.
Umeibiwa mara ngapi? Ndugu mteja karibu udufuma kwa watefejaUtaratibu wa kupiga simu huduma kwa wateja ili kuongea na wahudumu mmeondoa.
VODACOM MUWE NA HURUMA KUWAIBIA WATEJA WENU.
Kaibiwa mara ngapi? HajasemaThe best solution ni kutupa line yao unless imei commit kwenye many of your transactions
hata iwe mara moja is enough to abandon the bloodhopeless thingKaibiwa mara ngapi? Hajasema
Ni mara nyngi tu nikipiga huduma kwa wateja process nyngi bila soln.leo tena nikaweka buku kwenye salio wakanikata mia3 bila sababu.niliwahi kuacha buku na jero kwenye salio na nilikuwa na muda wa jirushe wa wiki lakin cha kushangaza wanacgukua kila siku kidogo kidogo bila taarifa.Umeibiwa mara ngapi? Ndugu mteja karibu udufuma kwa watefeja
Ingia DM yetu ya Instagram tukusaidie mpendwa mtefeja hatuna hudufuma ya kupokea Simu za wateja siku hizi hudufuma hio tumeifuta halafu TCRA wanatuchekea tuHUDUMA YA WATEJA IPI ILE YA 100 AMBAYO HAMPOKEI NI MAELEZO TU AU NYINGINE.
Ndugu mtefeja tumeifuta sababu mlikua mnawatukana sana watoa huduma wengine mnawatongoza sasa ikabidi tuifute ili msitupate fika Voda Shop iliyopo karibu naweKWANN MMEFUTA?
Boss TCRA anachekea CHOONI endeleeni kupigwa tuSio voda tu, kwakweli tunapigwa sana kwenye vifurushi
ππππ Wewe jamaa utakuwa unanyonyesha aseeIngia DM yetu ya Instagram tukusaidie mpendwa mtefeja hatuna hudufuma ya kupokea Simu za wateja siku hizi hudufuma hio tumeifuta halafu TCRA wanatuchekea tu
Yeye achekee hata KIZIMKAZI sawaBoss TCRA anachekea CHOONI endeleeni kupigwa tu