Vodacom SME yaondolewa kimya kimya

Vodacom SME yaondolewa kimya kimya

Miezi kama mitatu iliyopita tuliungwa kwenye vifurushi vya Vodacom SME ambapo tukawa tunapata unafuu kwenye bando.

Leo wameondoa bando hilo kimya kimya ukipiga menu hulikuti.

Vodacom mnapoteza wateja kizembe
Hatimae nimerudishiwa kifurushi chang
 
Hawa VODA dawa yao ipo jikoni📌🔨
Ngoja wajizime data na siku hazigandi, haileti maana ya aina yoyote mtandao kuongoza kwa matukio ya wizi kwa wateja wake.

Kwanza hakuna mtandao unao ongoza kwa kuhatarisha usalama wa wateja wake kama VODACOM TANZANIA.😡
 
Back
Top Bottom