Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Wana uhakika hata wewe huwezi kujipotezaVodacom mnapoteza wateja kizembe
ImerudiMiezi kama mitatu iliyopita tuliungwa kwenye vifurushi vya Vodacom SME ambapo tukawa tunapata unafuu kwenye bando.
Leo wameondoa bando hilo kimya kimya ukipiga menu hulikuti.
Vodacom mnapoteza wateja kizembe
Imerudi
Hapana wanakutumia weweHivi bado Kuna watu wanatumia Voda?
Hatimae nimerudishiwa kifurushi changMiezi kama mitatu iliyopita tuliungwa kwenye vifurushi vya Vodacom SME ambapo tukawa tunapata unafuu kwenye bando.
Leo wameondoa bando hilo kimya kimya ukipiga menu hulikuti.
Vodacom mnapoteza wateja kizembe
Aise kaka, mimi Voda inanipasua kichwa kwa wiki nikijibana sana natumia 10k, af Vi MB ni vichache, hizo line za SME mmepataje kaka, Utatatibu ukoje na naweza kunipa maelekezoHatimae nimerudishiwa kifurushi chang
Naomba kuunganishwa mkuuImerudi
Mkuu naomba uniungeHatimae nimerudishiwa kifurushi chang
Mcheki huyu jamaa 0745915057Mkuu naomba uniunge