Vodacom Tanzania ni kielelezo cha huduma mbovu za mawasiliano

Trab na Trat

Member
Joined
Sep 30, 2022
Posts
34
Reaction score
74
Hawa watu hawajali kabisa wateja wao hasa wanaoishi kwenye maeneo ya kipato cha chini.

Kuanzia Jumamosi Jioni, huduma za internet zilishuka ghafla katika eneo la Chigongwe - Halmashauri ya Dodoma Jiji.

Mpaka hivi leo huduma za internet zinasua sua na taarifa wanazo ila wameamua kupuuza.

Tatizo kama hilo lilijitokeza eneo la Nkuhungu siku hiyo hiyo, ila kwakuwa Nkuhungu wanaishi watu wenye hadhi, kampuni ilifix tatizo muda mfupi sana baada ya tatizo kutokea.

Usipokuwa na hela mpaka nzi watakudharau wakijua huwezi kuwapiga sumu.
 

Tungekuwa na makasiriko kama haya katiba mpya tungepata zamani sana
 
vodacom tanzania
 
[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…